• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KUTOWACHANJA WATOTO KWA SABABISHA VIFO 129 MUFINDI

Posted on: April 27th, 2017

KUTOWACHANJA WATOTO KWA SABABISHA VIFO 129 MUFINDI


Imeelezwa kuwa jumla ya Watoto 129 wenye umri wa chini ya miaka 05, wamefariki dunia mapema mwaka jana katika halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, huku asilimia kubwa ya vifo hivyo vikisababishwa na tabia ya

 baadhi ya wazazi ya kutozingati suala la chanjo kwa watoto, kutokana na imani potofu amabazo zimekuwa zikienezwa juu ya mazoezi ya utoaji chanjo.

 Kauli hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya hiyo Dkt. Fredrick Mgalula  wakati wa uzinduzi wa wiki ya  utoaji chanjo kwa watoto wenye umri wa chini  ya miaka 05 uliyofanyika kata ya Mbalamaziwa  Wilayani humo.

Dkt. Mgalula amesema tafiti zinaonesha kuwa  kwa  mwaka jana  2016  asilimia kubwa ya magonjwa yaliyosababisha vifo kwa Watoto  waliokuwa na umri wa chini ya miaka 05 vifo vyao vilichangiwa na magonjwa 

yanayokingwa kwa chanjo kama kifua kikuu, Donda koo, kifaduro, polio, surua. Magonjwa mengine ni pepo punda, homa ya ini, kichomi na homa ya uti wa mgongo.

Mganga huyo mkuu ameongeza kuwa ni vema wazazi Wilayani Mufindi wakaachana na habari za kizushi na tafsiri potofu juu ya chanjo zinazotolewa kwa gharama kubwa na Serik  badala yake wawapeleke watoto wao

 katika vituo vya kutolea huduma kwa wakati ili kuzuia vifo vinavyoweza kuzuilika baada ya Mtoto kupatiwa chanjo.

Awali akisoma hutuba kwa niaba ya Mgeni wa heshima Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Afisa tarafa wa tarafa ya Malangali Daniel Dugange aliyemwakailisha Mkuu wa Wilaya amesema, kila mkazi wa Mufindi anawajibu

 wa kuhakikisha Mtoto wake au wa jirani yake au mwingine yeyote anapata haki ya kupata chanjo ili kumkinga asizulike na magonjwa ambayo yanakingwa na chanjo lakini pia, asiwe hatari kwa  kuwaambukiza wengine  magonjwa hayo.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.