• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Jiepusheni na Tabia ya Kugushi Mitihani - Mkurugenzi Mufindi

Posted on: May 4th, 2019

Jiepusheni na Tabia ya Kugushi Mitihani – Mkurugenzi Mufindi

Walimu na Wanafunzi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Mufindi wameaswa kutokujihusisha na tabia ya kugushi mitihani ya Taifa kwani kwa kufanya hivyo kutasababisha matatizo makubwa katika maisha yao badala yake waweke juhudi katika kufundisha na kusoma kwa bidii ili ndoto zao za kufaulu mitihani ziweze kutimia kwa njia  halali.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bw. Netho Ndilito, wakati akihutubia kama mgeni wa heshima kwenye Maafali ya kidato cha sita (6) ya Shule kongwe ya Sekondari Malangali iliyopo kata ya Malangali Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

Ndilito, amesema tabia ya kufanya udanganyifu katika mitihani ndiyo chanzo cha kuwa na vijana wasio na uwezo na ambao hawataweza kushindana katika soko la ajira la jumuiya ya Afrika Mashariki.

“Nendeni mkapate division one nyingi, lakini nataka kutoa angalizo hapo kwenye division one na two, tujipange kimkakati tusijekupata division one kwa kukugushi mitihani ya kitaifa, hiyo ni mwiko na ogopa kama Ukoma kwani tendo hilo litaharibu sifa njema ya Mhe. DC na Mkurugenzi pia litaichafua Halmashauri yetu, litaichafua Shule yenu, msisubutu ku-temper na Mitihani”. Alisema Mkurugenzi

Awali Ofisa Elimu idara ya Sekondari wa Halmashauri Mwal. Mussa Ally, amebainisha kuwa wahitimu wote 179 wapo vizuri kwa taaluma na nidham huku wakiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri.

 “Nawasihi mtumie vizuri siku chache zilizobaki kwa kufanya mandalizi ya mwisho “final touches” ili muweze kupata division one nyingi hivyo kuendelea kulitangaza jina la Sekondari ya Malangali.” Aliongeza Ofisa huyo mwenye dhamana ya Elimu

Malangali Shule iliyoanzishwa Aprili 16/1928 ni moja kati ya Shule kongwe ambayo viongozi wengi wa hapa nchini walisoma huku mwaka huu jumla ya wanafunzi 179 wanataria kuketi kwa mitihami ya kuhitimu kidato cha sita kuanzia  jumatatu ya tarehe 06

Maandamano Kuelekea Uwanja wa Maafali

Wahitimu wakimsikiliza Mgeni wa Heshima hayopo pichani


Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.