• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

JAPANI YAFADHILI UJENZI WA BWENI SEKONDARI YA ITONA WILAYANI MUFINDI

Posted on: March 9th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi,imetiliana saini na Serikali ya Japan kupitia ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini kufadhili ujenzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Itona iliyopo kata ya Ifwagi Wilayani Mufindi.

Ujenzi wa bweni la wasichana unatarajiwa kuwa wa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu, kwa gharama ya Dola 101,363 sawa na shilingi Milioni 231.48 bweni hilo linalotarajiwa kujengwa litakuwa na uwezo wa kuchukua jumla ya wanafunzi 80 kwa wakati mmoja.

Hafla hiyo imefanyika katika ofisi za Ubalozi wa Japan zilizopo jijini Dar es salam na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bi, Zaina Mlawa na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Goto Shinichi.

Wengine walioshuhudia utiaji saini huo ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Saad Mtambule, Mwenyekiti wa Halmashauri Mheshimiwa Festo Mgina, A fisa Elimu Sekondari, mwanasheria wa Halmashauri, Mhandisi wa Ujenzi, Mkuu wa Shule ya Itona na Maafisa mbalimbali wa Ubalozi huo.

Akizungumza Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Saad Mtambule kwaniaba ya Uongozi wa Halmashauri ya Mufindi ameshukuru Uongozi wa Ubalozi wa Japan kwa kuweza kushirikiana na Wilaya ya Mufindi katika kufadhili ujenzi wa bweni hilo ambao utatatua changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu.

Na Sima Bingileki

Afisa Habari

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.