• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa waliokaidi ujenzi wa Vyoo bora Halmashauri ya Mufindi .

Posted on: November 20th, 2018

Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa Waliokaidi ujenzi wa vyoo bora Halmashauri ya Mufindi

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Jamhuri William, ametoa tathimini ya zoezi la kampeni ya ujenzi wa Vyoo bora kwa kaya za Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Kampeni ambayo iliendeshwa na Halmashauri kwa kipindi cha miezi mitano (05) kuanzia mwezi Juni mpaka Oktoba- 2018.

Akitoa taarifa hiyo kupitia kitengo cha habari na mawasiliano cha Halmashauri amesema, Halmashauri inajumla ya kaya 59, 152 kati ya hizo zilizokaguliwa ni 54,133 kati ya hizo kaya zenye vyoo bora ni 33, 562, sawa na 62% huku kaya yenye Vyoo asili na visivyo kubalika ni 19,109 sawa na 35% wakati kaya ambazo hazina Vyoo kabisa ni 275, sawa na 0.5%

Mhe. William, amezitaja Kata tisa (09) ambazo bado zinaidadi kubwa ya kaya zisizo na Vyoo kabisa sanjari na idadi kubwa ya Vyoo vya asili ambavyo havikubaliki, kuwa ni pamoja na Kata ya Kibengu, Mapanda, Ihalimba, Idunda, Itandula, Mtwango, Sadani, Ihowanza pamoja na Kata Malangali.

Mkuu wa Wilaya amezitaja Kata kumi (10) ambazo kwa asilimia kubwa zimefanya vizuri, kuwa ni pamoja na Kata ya Mpanga Tazara, Kiyowela, Luhunga, Ihanu, Idete, Igowole, Ikongosi, Igombavanu, Makungu pamoja na kata ya Maduma.

“Nataka jamii ijue kwamba suala la kuwa na choo bora halina mbadala ni lazima kila kaya kuwa na choo bora, tokuwa na vyoo bora ni chanzo cha magonjwa ya mlipuko tunapozungumzia choo bora kwa mazingira ya watu wetu ni choo kilichojengwa kwa matofali, kimeezekwa kwa bati na kimesakafiwa ili iwe rahisi kukifanyia usafi”

Aidha, amebainisha kuwa Ofisi yake inaanda ukaguzi mwingine wa kaya kwa kaya ambao utaenda sambamba na kukamata, kutoza faini na kuwafungulia mashitaka kupitia sheria za Mazingira pamoja na Afya za mwaka 2009 wale wote waliokaidi agizo halali ya serikali na ameongeza kuwa pamoja na baadhi ya Kata kufanya vizuri, bado kunakaya ambazo hazina Vyoo bora.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.