• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI ZITUMIE MAPATO YA NDANI KUFANYA MIRADI INAYOONEKANA-MAJALIWA

Posted on: July 7th, 2024

Halmashauri mbalimbali hapa nchini zimetakiwa kutumia mapato ya ndani kwa ajili ya kufanya miradi ya maendeleo inayoonekana badala ya kukaa na kusubiri kupata fedha za miradi kutoka Serikali Kuu.

Rai hiyo imetolewa Julai 7, 2024 na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa ziara yake mkoani Iringa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika shule ya Sekondari ya wasichana Iramba katika kata ya Itandula Wilaya ya Mufindi ambapo amesema kuwa moja ya madhaifu ya halmashauri nyingi hapa nchini ni kutotenga fedha za mapato ya ndani kujenga miradi inayoonekana.

Majaliwa baada ya ukaguzi wa shule hiyo amepongeza uamuzi wa baraza la madiwani na timu ya menejimenti kwa uamuzi sahihi katika kuunga mkono juhudi za Serikali katika sekta ya elimu kwa kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo ili mtoto wa kike aweze kutimiza ndoto zake huku akiitaka Halmashauri ya Mufindi kuendelea kutenga fedha za kutosha kukamilisha mradi huo kwa wakati ili wanafunzi waweze kutumia shule hiyo mapema 2025.

Akitoa taarifa ya mradi  huo Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari Mwl. Daniel Mapilya amesema kuwa mradi huo unatarajiwa kugharimu kiasiccha shilingi bilioni 1.78 ukijumuisha vyumba vya madarasa nane, ofisi nne, jengo la utawala moja, maabara tatu, chumba cha Tehama kimoja, nyumba za walimu tano(2 in 1)zitakazochukua walimu 10, bwalo moja na mabweni manne pamoja na vyoo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo.

 

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 28, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.