• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI YAWEKA MIKAKATI YA UKUSANYAJI WA KODI ZA MAJENGO, MABANGO NA UUZAJI WA VITAMBULISHO VYA UJASIRILIAMALI

Posted on: February 16th, 2021

" Wajibu wenu kwenda kuwatambua wafanyabiashara katika maeneo yenu, ili kuweka mikakati bora ya ukusanyaji wa kodi za majengo na mabango. Nina uhakika mtafanya vizuri kwani Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi inawatendaji wachapakazi"

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Ndugu Netho Ndilito alipokuwa akizungumza na watendaji wa kata 27 na watendaji wa Vijiji 121 lengo likiwa ni kupanga na kuweka mikakati ya ukusanyaji wa kodi hizo.

Amesema wafanyabiashara katika maeneo yetu wako wa aina 3, wenye TIN number, wenye leseni za biashara na wenye vitambulisho vya ujasiriliamali , kama hakuna mfanyabiashara katika hao basi huyo anaujumu uchumi wa nchi.

Akitoa maelezo kuhusu nani anatakiwa  atozwe kodi ya jengo Afisa Biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Ndugu Raymond Kalinda amesema miongozo ya nani anatakiwa alipe na majengo gani au nani asilipe, ipo, hivyo ifuatwe ili kutoza kwa usahihi bila kuvurugaa amani ya nchi.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.