• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Halmashauri ya Wilaya Ya Mufindi Imepokea Wataalamu 54 wa Sekta Ya Afya

Posted on: September 18th, 2018

Halmashauri ya Wilaya Ya Mufindi Imepokea Wataalamu 54 wa Sekta Ya Afya 

Baada ya Serikali kuajiri watumishi wapya wa sekta ya Afya mnamo mwezi Julai mwaka huu, Halmashari ya Wilaya ya Mufindi imepokea jumla ya watumishi hamsini na tano (54) walitawanywa katika vituo vya Afya na Zahanati za Halmashauri ili kupunguza changamoto ya upungufu wa wataalamu wa sekta hiyo.

Watumishi ambao wameripoti na kupangiwa vituo vya kazi ni pamoja na wauguzi ishirini na mbili (22), Matabibu ishirini na saba (27), wataalamu wa Maabara wawili (02), wataalamu wa dawa watatu (03), pamoja na Mganga mmoja (01)

Mgawanyo wa watumishi hawa katika vituo vya Afya na Zahanati umezingatia vigezo mbalimbali kama vile kupelekwa kwenye vituo vipya, uhitaji wa watumishi katika vituo vinavyotoa au vinatarajia kutoa huduma ya upasuaji, kupangiwa vituo ambavyo vilikumbwa na upungufu wa rasilimali watu baada ya zoezi la kuwaondoa watumishi wenye vyeti feki, kustaafu kwa watumishi sanjari na baadhi yao kwenda kujiendeleza kitaaluma.

Aidha, baada ya mgawanyo huo hakuna kituo cha Afya wala Zahanati ya Halmashauri ambayo imefungwa kwa kukosa wataalamu wa kotoa huduma, lakini pia kwa kuwa na wataalamu wenye weledi kwenye vituo vyote, kutasadia kukidhi moja kati ya sharti muhimu la kupata fedha kutoka kwa wahisani zitakazo saidia kuendelea kuiboresha sekta muhimu ya Afya.

Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi yenye majimbo mawili ya uchaguzi, inajumla ya Zahanati hamsini na tatu (53) pamoja na vituo vya Afya sita (06). Uongozi wa Halmashauri tunaishukuru Serikali kwa kutupatia idadi kubwa Watumishi kwa wakati mmoja.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.