• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wilaya ya Mufindi Yazindua Muongozo wa Kuimarisha Sekta ya Elimu Nchin

Posted on: September 29th, 2022


Wilaya ya Mufindi Yazindua Muongozo wa Kuimarisha Sekta ya Elimu Nchini

 

Serikali Wilayani Mufindi imezindua rasmi miongozo mitatu ya Elimu Msingi na Sekondari iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI yenye shabaha ya kuboresha sekta muhimu ya Elimu hapa chini ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, kuzindua miongozo hiyo kitaifa.

Miongozo hiyo inayotarajiwa kuleta matokeo chanya ni pamoja na Muongozo wa uteuzi wa ngazi mbalimbali za viongozi kwa Mamlaka za   Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa, Muongozo unaobainisha mikakati ya  ufundishaji na ujifunzaji kwa ngazi za Elimu Msingi na Sekondari, wakati muongozo wa tatu, ukiangazia kutafuta suluhu ya changamoto katika uboreshaji Elimumsingi na Sekondari.

Awali mgeni wa heshima katika hafla ya uzinduzi, Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Saad Mtambule, amesema, jambo la kwanza na la muhimu katika kuboresha Elimu ni Walimu na Wanafunzi kuimarisha nidham, kutimiza wajibu kwa kutengeneza mipango binafsi katika Ufundishaji.

“Sasa tukitaka tuboreshe Elimu na kuyatafuta maarifa vizuri, jambo la kwanza ni nidham, nidham ya kwanza ianze na Mwalimu, kwa hiyo, nitoe wito kwa Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa shule na Walimu wakuu pamoja na wadau wote tuwe na nidham, angalia nguo unazovaa, lugha unayoongea, unajali muda kiasi gani, unafuatilia maendeleo ya Wanafunzi kiasigani” 

Aidha Mh, Mtambule amewapongeza walimu kwa kazi kubwa wanayoifanya na kubainisha kuwa Wilaya ya Mufindi imeweka mpango wa kujenga shule maalum ya Sekondari ya Wilaya, ambayo itadahili wanafunzi waliopata alama za juu zaidi katika mtihani wa darasa la saba.

Kwa upande wa Mafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule  Walimu wakuu pamoja na wadau wa Elimu, waliohudhuria Hafla hiyo, wamepongeza uzinduzi huo kwani utakuza maendeleo ya Elimu Wilayani hapa kwa kuwaongezea ujuzi katika kazi hiyo


Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.