• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC Mufindi: Mkataba wa huduma kwa Mteja utasaidia kutokomeza rushwa kwenye Ofisi za Umma nchini

Posted on: December 13th, 2017

DC MUFINDI: Mkataba wa huduma kwa Mteja utasaidia kutokomeza rushwa kwenye Ofisi za Umma

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Jamhuri William amesema, endapo Ofisi za Umma  hazitodhibiti ipasavyo  mifumo na urasimu uliowekwa kwenye Ofisi za Serikali, masuala hayo yanaweza kuwa kichocheo kikubwa cha kuendelea kukua kwa tatizo la rushwa katika ofisi hizo.

Taarifa ya Kitengo cha habari cha Halmashauri ya Mufindi imebainisha kuwa, Mkuu huyo wa Wilaya ametoa kauli hiyo wakati akifunga maadhimisho ya siku ya Maadili na haki za Binadamu, iliyoadhimishwa kiwilaya katika chuo cha maendeleo ya jamii Rungemba kilichopo Mjini Mafinga Wilayani Mufindi.

Mh. Jamhuri amesema, urasimu uliyowekwa kwa nia njema ya kudhibiti utendaji kazi ukitumiwa vibaya, unaweza kuwa chanzo cha rushwa, hivyo akatoa rai kwa taasisi zote za umma kuhakikisha zinazingatia suala la kuwa na mkataba wa huduma kwa wateja na kuongeza kuwa hiyo ni moja kati ya njia kuu za kuondoa suala la rushwa katika Ofisi za umma.

Awali Mkuu wa taasisi ya kuzui na kupambana na rushwa Wilayani Mufindi bw. Orest Mushi, ametanabaisha kuwa tafiti  za hivi karibuni zinazoonesha kupungua kwa rushwa nchini, zinatokana na utashi wa kisiasa uliopo, chini ya Rais John Pombe Magufuli, huku akibainisha malengo ya maadhimisho hayo, kuwa ni pamoja na  kuiwezesha Serikali kufuatilia na kufahamu hali ya rushwa nchini, kubainisha madhara ya rushwa na kutambua umuhimu wa kuendelea kupambana nayo, kutambua changamoto za mapambano dhidi ya rushwa, kuweka mikakati ya kupambana na rushwa, sanajari na kuisaidia nchi  kutathimini ushiriki wake  dhidi ya mapamabano ya rushwa kimataifa.

Mwaka 2005 serikali iliamua kwamba maadhimisho haya yawe yanafanyika disemba 10 ambapo, nchi yetu huungana na mataifa mengine duniani kuiadhimisha kama siku ya maadili na haki za binadamu. Kaulimbiu ya mwaka huu ni wajibika piga vita rushwa, zingatia maadili na haki za binadamu, kuelekea uchumi wa kati.

 

 

 

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.