• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC LINDA AZINDUA PROGRAMU YA VISIMA JIMBO LA MUFINDI KUSINI

Posted on: October 15th, 2024


Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe;Dkt Linda Salekwa amezindua Program ya Visima katika ngazi ya Wilaya.


Uzinduzi huo umefanyika leo Oktoba 15,2024 katika Kijiji cha Mpanga kata ya Mtwango ikiwa ni miongoni mwa visima vitano(5) ambavyo jimbo la Mufindi kusini limepatiwa na Mhe;Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe;Dkt Samia Suluhu Hassan katika Program ya visima 900.

Katika Uzinduzi huo Mhe;Dkt Linda aliambatana na Naibu wa Wizara ya Uchukuzi ambae pia ni Mbunge wa Mufindi Kusini Mhe;david_mwakiposa_kihenzile


Akisoma Taarifa ya utekelezaji wa program hiyo Meneja wa Wakala wa maji na usafi wa Mazingira(RUWASA),Bi Happiness Mrisho amesema Program ya visima 900 vya Mhe;Rais,ni mradi unaohusisha uchimbaji wa visima na utekelezaji wa ujenzi wa visima maeneo ya vijiji ambako kuna shida kubwa ya upatikanaji wa majisafi na Salama.

“Katika kutekeleza Program hii Jimbo la Mufindi kusini,Serikali imetenga kiasi cha Tsh 300,000,000(Milioni 300) Ambapo kila Kijiji zimetengwa Tsh 60,000,000(Milioni 60) na vijiji vinavyoenda kunufaika ni Mtwango,Mpanga,Lufuna na Kibao,Na Upande wa Mufindi kaskazini pia Zimetengwa Tsh 300,000,000(Milion 300) ikiwa ni Milioni 60 Kwa kila Kijiji kwa vijiji Vitano,Kukamilika kwa programu hii kutaongeza wigo wa upatikanaji wa Maji Safi na Salama katika Wilaya ya Mufindi.


Aidha Mhe;Dkt Linda amewakumbusha Wananchi Kwenda kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Mpiga kura ili Washiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 28, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.