• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DAS Mufindi asisitiza kutolewa elimu juu ya ugonjwa wa usubi

Posted on: August 15th, 2024

Katibu Tawala Wilaya ya Mufindi Ndg.Reuben Chongolo ametoa rai kwa wahudumu wa afya kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya matokeo hasi ya madhara yatokanayo na usubi lengo ikiwa ni kusaidia jamii kuepuka madhara yatokanayo na usubi.

Rai hiyo ameitoa Agosti 15. 2024 kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Dkt. Linda Salekwa, wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni ya ugawaji wa dawa za usubi kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya kampeni inayotarajiiwa kuanza Agostti 19 hadi 25, 2025.

Chongolo amesema kuwa  ipo haja ya kufanikisha zoezi hilo kwani kinga ni bora kuliko tiba hivyo ni vema wananchi wakujulishwa faida za kukinga ili kuwa na jamii ambayo ni salama kwani Wilaya ya Mufindi imepewa kipaumbele cha kutoa hudumu hiyo kutokana na kupakana maeneo ambayo tayari yana ugonjwa wa usubi lakini pia yana mbu wanaobeba vimelea vya ugonjwa wa usubi.

Akibainisha madhara ya usubi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Dkt. Fredrick  Jackoracha amesema ni pamoja na ngozi kuharibika, kutokuona vizuri na hatimaye upofu, kushindwa kufanya kazi ambapo hali hiyo hupelekkea hali ya utegemezi na umaskini katika kaya na jamii pamoja na unyanyapaa kwa wagonjwa wa usubi katika jamii.

Kwa upande wa dalili za ugonjwa huo Mganga mkuu amezitaja ikiwemo ngozi kuwasha sana, ngozi kuwa na ukurutu usiotibika, ngozi kuchakaa mithili ya ngozi ya kenge au mamba, kuwa na vinundu sehemu ya mifupa iliyojitokeza mwilini na ngozi kuwa na mabaka mabaka mithili ya mtu aliyeungua na moto au ngozi kuwa kama ya chui.


Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.