• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi ahimiza huduma ya Chakula cha mchana Shuleni

Posted on: January 8th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi ahimiza huduma ya Chakula cha mchana Shuleni.


Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Jamhuri William, amewataka Walimu wakuu wa Shule za msingi za Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, kuwahamasisha Wazazi na Walezi kuchangia chakula cha Wanafunzi kwa kuzingatia sera ya Elimu bila malipo ili waendelee kupata huduma ya chakula  wanapokuwa shuleni, jambo ambalo limeonesha kuwa na mchango chanya kwa  kuchangia kupanda kwa Ufaulu wa Wanafunzi wa Shule za  Halmashauri hiyo.

Mkuu huyo wa Wilaya ameyasema hayo wakati wa tathimini ya  matokeo ya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) uliofanyika mapema mwaka jana 2017, kupitia hotuba yake kwa Walimu wakuu wa shule 144 za  Halmashauri, ilyosomwa kwa niaba yake na Ofisa Tarafa wa Tarafa ya Ifwagi Bw. Daniel Mwaisela.

Jamhuri, amesema suala la utoji chakula cha pamoja kwa wanafunzi  shuleni, linasaidia kuleta usawa kati ya walionacho na wasionacho, kutunza muda na ratiba nzima ya Shule sanjari na kumuwezesha Mtoto kuzingatia na kuelewa anachofundishwa awapo darasani na ametoa rai kwa serikali za Vijiji na Mitaa kusimamia utekelezwaji wa suala hilo.

Akiwasilisha takwimu za ufaulu kwa mtihani wa darasa la saba uliofanyika mapema mwaka jana, Ofisa Elimu taaluma wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bi. Mariam Ngala, ametanabaisha kuwa ufaulu  umepanda kutoka asilimia 80.39 mwaka 2016 mpaka asilimia 84.26 huku Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ikishika nafasi ya 32 kitaifa kati ya Halmashauri 185.

Siku ya tathimini ya matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa Halmahauri ya Wilaya ya Mufindi, ni tukio la kila mwaka linalowakutanisha Walimu wakuu wote wa shule 144, Maofisa Elimu kata kutoka kata zote 27 za Halmashauri ambapo kwa pamoja hutathimini matokeo ya darasa la saba kutunuku zawadi kwa Wakuu wa shule waliofaulisha vizuri zaidi pamaja na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kwa mitihani ijayo.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.