• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Bilioni 55 Kutumika Bajeti ya 2023/2024 Halmashauri ya Mufindi

Posted on: February 7th, 2023


Bilioni 55 Kutumika Bajeti ya 2023/2024 Halmashauri ya Mufindi

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, limejadili kwa kina kabla ya kupitisha bajeti ya zaidi ya shilingi Bilioni 55 na Milioni 929 kwa mwaka ujao wa Fedha yaani 2023/2024 utakaoanza tarehe mosi ya mwezi Julai mwaka huu.

Kati ya Fedha hizo, zaidi ya Shilingi Bilioni 7.8 zinatarajiwa kukusanywa na Halmashauri ikiwa ni mapato yake ya ndani wakati kiasi kinachosalia kikitolewa na Serikali kuu pamoja na wahisani wa maendeleo.

Mgawanyo wa matumizi ya Fedha hizo ni pamoja na Bilioni 13.6 zikielekezwa kwenye miradi ya maendeleo, Bilioni 1.0 matumizi ya kawaida huku Bilioni 33.3 zikitengwa kwa ajili ya matumizi ya lazima ya mishahara kwa watumishi.

Baadhi ya miradi muhimu inayotarajiwa kutekelezwa mwaka 2023/2024 kwa manufaa ya wananchi wa Mufindi ni pamoja na ununuzi wa gari maalum la kusafirishia wagojwa, Ujenzi wa Shule mpya ya mchepuo wa kingereza na ununuzi wa Mizani ya kupimia magari ya mizigo kwa lengo la kuongeza mapato ya Halmashauri.

Bajeti hii imezingatia utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni chama tawala, dira ya Taifa ya miaka mitano, malengo endelevu ya Milenia, sanjari na sera za kitaifa na kimataifa.

Akizungumza wakati akifunga kikao, Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Festo Mgina, amewataka Madiwani kutoa ushirikiano kwa wataalamu katika ukusanyaji mapato pamoja na kutoa elimu kwa Jamii zao juu ya umuhimu wa kulipa kodi na ushuru wa Halmashauri huku akiahidi kukamilisha miradi yote viporo mara utekelezaji wa bajeti utakapoanza.

Imetolewa na

*Kitengo cha Mawasiliano Serikalini*

*HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFI




Tangazo

  • Tunakodisha Ukumbi wa Halmashauri Uliopo Mafinga April 17, 2017
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Bilioni 55 Kutumika Bajeti ya 2023/2024 Halmashauri ya Mufindi

    February 07, 2023
  • Mkuu wa Mkoa Aridhishwa

    December 13, 2022
  • Bilioni 1.4 za World Vision Kunufaisha Maelfu ya Kaya Mufind

    December 06, 2022
  • Watumishi Halmashauri ya Mufindi Waaswa Kuwa Wamoja na Kuzingatia Maadili ya Kazi

    November 25, 2022
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.