• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Baraza la Madiwani Mufindi lapitisha bajeti ya shilingi 60,795,716,738.

Posted on: January 30th, 2025

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi likongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Festo Mgina limepitisha bajeti yenye thamani ya shilingi 60,795,716,738.00 kwa Mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo.

Akiongoza baraza hilo Mwenyekiti wa Halmashuri amesema kuwa kuwa bajeti ni dira ya mwaka mzima huku akiwataka madiwani kutoa michango yenye tija ili kuleta tija kwa wananchi, ambapo kikao hicho kilipitia,kujadili na kushauri mambo mbalimbali katika rasimu hiyo,kwa ajili ya shughuli za uendeshaji na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Kwa upande wake Mkurungenzi wa halmashauri hiyo Mashaka Mfaume amesema kuwa baraza hilo limepitisha rasimu ya bajeti hiyo ambayo ndio mustakabali wa halmashauri kwa mwaka wa fedha ujao, na kwamba ndio muhimili mkubwa wa kuendesha halmashauri kwani bila kuwa na bajeti ni nzuri halmashauri inaweza kuyumba lakini pia amesema Halmashauri imejipanga zaidi kupitia makusanyo yake ya ndani kutekeleza miradi ya maendeleo ili kuhakikisha huduma zinawafikia wananchi.huku akiwashukuru waheshimiwa madiwani kwa kutumia muda wao kuipitia na kuichambua sanjari na kutoa ushauri kwa watendaji.

Akisoma rasimu ya Bajeti ya Halmashauri ya Mufindi kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri Ndg. Mashaka Mfaume, Afisa Mipango Wilaya Ndg. Elisey Ngoi amesema bajeti hiyo ina hiyo mchanganuo wa vyanzo mbalimbali ikiwemo mishahara toka serikali kuu shilingi 35,103,112,000, matumizi ya kawaida tilka serikali kuu shilingi 2,259,860,000, miradi ya maendeleo fedha zaa ndani tka serikali kuu shilingi 6,910,185,000 miradi ya maendeleo fedha za nje toka kwa wafadhili shilingi 7,004,041,000 na mapato ya ndani toka halmashauri shilingi 9,518,518,738.

Waheshimiwa madiwani wakitoaa michango yao katika baraza la madiwani.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.