• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Baraza la Madiwani laketi kwa Kikao cha Mwisho, Mafanikio Yabainishwa

Posted on: June 10th, 2020

Baraza la Madiwani Mufindi lafanya Kikao Cha Mwisho, Mafanikio ya Miaka Mitano 2015/2020 Yasomwa

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi limehitimisha vikao vyake vya kisheria kwa kupokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano (05) tangu 2015 mpaka 2020.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi kwa kipindi cha miaka mitano katika kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani  Ofisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi John Bosco Quman, ameitaja Miradi Mikubwa iliyotekelezwa kuwa ni pamoja na:

SEKTA YA AFYA

  • Ujenzi wa Hospitali  moja ya kisasa mbayo inatarajiwa kuanza kutoa huduma mwezi huu wa juni.
  • Idadi ya vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 05  2015  hadi  06 2020
  • Zahanati zimeongezaka kutoka 47 hadi 52 2020
  • Idadi ya vifo vitokanavyo na uzazi vimepungua kutoka 12 hadi 01
  • Idadi ya vifo vya Watoto chini ya umri wa mika 05 vimepungua kutoka vifo 129 mapaka 61.

MAENDELEO YA JAMII:

  • Mikopo ya wanawake imeongezeka kutoka 199,887,000 hadi kufikia 691,011,000 mwaka 2020.
  • Mikiopo ya Vijana imeongezeka kutoka 43,200,00 hadi kufikia 361,791, 000 mwaka 2020

BIASHARA NA MASOKO

  • Idadi ya viwanda vidogo imeongezeka  toka 02  hadi 20 mwaka 2015
  • Idadi ya viwanda vya kati 07
  • Idadi ya Viwanda vikubwa 03

ELIMU YA AWALI

  • Idadi ya Madarasa ya Elimu ya awali imeongezeka toka 147 mwaka 2015 hadi 151 mwaka 2020
  • Idadi ya Walimu wa Elimu ya awali imeongezeka toka 54 mwaka 2015 hadi 151 mwaka 2020
  • Idadi ya Matundu ya Vyoo vya wanafunzi wa elimu ya awali imeongezeka kutoka 78 mwaka 2015 hadi kufikia 174 mwaka 2020

ELIMU MSINGI

  • Madarasa elimu msingi yameongezeka kutoka 1,127 mwaka 2015 hadi 1,158 mwaka 2020
  • Madawati yameongezeka kutoka 23194 mwaka 2015 hadi kufikia 26769
  • Idadi ya shule za msingi zi meongezeka toka 149 mwaka 2015 hadi kufikia151 mwaka 2020
  • Idadi ya nyumba za Walimu wa shule za Msingi imeongezeka kutoka 886 mwaka 2015 hadi kufikia 907 mwaka 2020.

ELIMU SEKONDARI

  • Idadi ya Walimu wa Sayansi imeongezeka kutoka toka 131 mwaka 2015 hadi  171 mwaka 2020
  • Maabara zimeendelea kujengwa kutoka  16 2015 hadi 51 2020
  • Mabweni yameongezeka kutoka 13 mwaka 2015 hadi 17 2020 katika Sekondari za Mdabulo, Mbalamaziwa na Mgololo.
  • Madarasa yameongezeka kutoka  486 mwaka 2015 hadi  kufikia 510 mwaka 2020
  • Nyumba za Walimu imeongezeka kutoka 204 mwaka 2015 hadi 216.
  • Idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya  kidato cha tano  kwa shule za serikali imeongezeka kutoka 570 mewaka 2015 hadi 720 mwaka 2020.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.