• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

Posted on: May 14th, 2025

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi chini ya Mwenyekiti wa Halmshauri Mh. Festo Mgina limepitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya TARURA na RUWASA kwa mwaka wa fedha 2025/26.

Akiongoza kikao hicho Mh. Mgina ameutaka Uongozi wa TARURA na RUWASA kufanyia kazi maoni yote yaliyotolewa na baraza hilo ikiwemo kuongeza kasi ya ushirikishwaji wa viongozi wa ngazi ya kata wakati wa uanishwaji wa miradi ili kuendana na mahitaji ya maeneo husika.

Akiwasilisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya matengenezo ya barabara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Meneja  Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania Wilaya ya Mufindi Injinia Nelson Maganga amesema  TARURA-Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imepanga kutumia jumla ya Tshs 5,938, 513, 460.49 kutoka vyanzo mbalimbali vya fedha ikiwemo matengenezo, mfuko wa maendeleo, bajeti ya nyongeza na tozo ya mafuta.

Aidha amebainisha kuwa kwa mujibu wa mfumo wa DROMAS hali ya mtandao wa barabara ni ya kuridhisha kwani mpaka sasa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ni 62% ya mtandao wote wa barabara unapitika kipindi chote cha mwaka, huku 38% inapitika kipindi cha kiangazi tu na kipindi cha masika inapitika kwa shida na wakati mwingine kutopitika kabisa.

Kwa upande wake Meneja Wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini  Wilaya ya Mufindi(RUWASA) Injinia Happy Mrisho amesema kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bajeti iliyotengwa na kupitishwa kwa Wilaya ya Mufindi ni Tshs 3,083,515,209 kwa vipaumbele vya ukamilishaji wa miradi inayoendelea pamoja na miradi mipya iliyoshindwa kutangazwa ndani ya mwaka wa fedha 2024/2025 kutokana na ucheleweshaji wa mapokezi ya fedha.

Miradi inayoendelea kwa sasa ni katika maeneo mbalimbali ikiwemo Ifwagi, Ihalimba, Ikongosi, Chogo, Ideete, Ihanzutwa, Sadani Kihata, Mbalamaziwa, Nyololo(Njojo na Lwing’ulo), Malangali, Itimbo, Lufuna-Kibao, Kisada, Ugute-Kitelewasi na Mgololo huku Mtambula, Igombavanu na Matanana ikiwa ni miradi mipya.

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.