• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Madiwani Mufindi Wapitisha Bajeti Kwa Mwaka 2018/2019 asilimia 60 imeelekezwa kwenye Maendeleo

Posted on: February 26th, 2018

Madiwani  Mufindi Wapitisha Bajeti Kwa Mwaka 2018/2019 Asilimia 60 Imeelekezwa Kwenye Miradi ya Mandeleo


Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi limejadili, kuridhia nakupitisha rasimu ya bajeti yenye zaidi ya shilingi bilioni 62.926, ikiwa nimakadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ujao wa Fedha 2018/2019, ambapomakusanyo ya ndani ya Halmashauri ni Bilioni 4.162 kati ya Fedha zote.

Akiwasilisha rasimu ya bajeti kwenye kikao maalumcha Baraza, kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bw. IsayaMbeje, amesema, Halmashauri inatarajia kukusanya, kupokea na kutumia zaidi yaBilioni 62.926, ambapo kati ya Fedha hizo Bilioni 40.728 ni Fedha kutokaSerikali kuu maalum kwa ajili ya mishahara ya Watumishi, Bilioni 17.205zimeelekezwa kwenye Miradi ya Maendeleo huku Bilioni 4.992 ni kwa ajili yamatumizi mengineyo.

Mbenje ambaye pia ndiye Afisa Mipango waHalmashauri, amevitaja vipaumbele vya bajeti hiyo kwa mwaka wa Fedha wa2018/2019 kuwa inaangazia ukamilishaji wa miradi ambayo haikukamilika kwa miakaya nyuma hususani ukamilishaji wa Majengo ya sekta ya Afya na Elimu, Ukarabatiwa Madarasa chakavu ya baadhi ya Shule za Msingi, ukusanyaji Mapato kwa njia yakielekroniki, Kutoa huduma bora za kijamii, kuinua uchumi wa wananchi nakuimarisha Miundombinu.

”Mhe Mwenyekiti rasimu hii ya Mpango wa Bajeti yaHalmashauri ni Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2018/2019, rasimu hiiitaendelea kujadiliwa na kupatiwa ushauri kwenye vikao vya ngazi ya Mkoa, Ofisiya Rais TAMISEMI Pamoja na Wizara ya Fedha na Mipango kablaya kujadiliwa nakupitishwa na Bunge” libainisha Bw. Mbenje.

Azungumza wakati wa kufunga kikao hicho,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mufindi ambaye pia ndiye Diwani wa kata yaMninga Mhe. Festo Mgina, amewataka Madiwani kutoa ushirikiano kwenye zoezi laukusanyaji wa mapato pamoja na kubuni vyanzo vipya vya mapoto ili yasaidiekuharakisha maendeleo kwa kuzingatia kuwa asilimia 60% Mapato ya ndaniyanatakiwa kuelekezwa kwenye miradi ya Maendeleo. 

“Mkurugenzi wewe pamoja na timu yako tuendeleekuchapa kazi, tunasifa ya Ushirikiano kati ya timu ya Madiwani na Timu yako,tuendeleee kufanya kazi kwa umoja, uadilifu na ushirikiano Kwani sisi kamaViongozi tunatakiwa kuwa chachu ya Maendeleo”

Rasimu ya bajeti ya 2018 – 2019, aimeandaliwa kwakuzingatia, Ilani ya Chama cha tawala CCM, Mwongozo wa bajeti wa mwaka2018/2019, Mpango wa pili wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2016/2017, Malengo 17ya maendeleo endelevu (SDGs), Dira ya Taifa

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.