• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Aliyoyasema Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga, Kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika Kimkoa Ifunda

Posted on: May 19th, 2022

Aliyoyasema Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen  Sendiga, Kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika Kimkoa Ifunda

  • Kauli mbiu ya mwaka huu inatukumbusha kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu.
  • Kauli mbiu inatukumbusha kufuata haki na umoja  katika utekelezaji wa majukumu yetu.
  • Wajibu wa vyama vya wafanyakazi ni kutukumbusha wajibu wetu katika utekelezaji wa majukumu yetu.
  • Kwenye utendaji wa kazi popote changamoto hazikosekani lakini Zaidi changamoto zipo  kwa watumishi ambao hawatimizi wajibu wao.
  • Wafanyakazi wakati wakati tunadai haki zetu za msingi, na sisi wafanyakazi tutimize wajibu wetu.
  • Uadilifu ni muhimu kwa watumishi, tukwepe rushwa. Rushwa ni janga na hatari kwa maendeleo yetu wafanyakazi.
  • Jukumu letu wafanyakazi ni kutoa huduma kwa jamii na kila mtu ni kiongozi kwenye eneo lake, Tutimize wajibu wetu.
  • Tuwape nafasi watumishi wa chini yetu waweze kufanyakazi kwa uhuru.
  • Tuwe wabunifu kwenye maeneo yetu ya kazi.
  • Kiongozi tuwapongeze watumishi palle wanapofanya vizuri.Viongozi tujitahidi kufikika kirahisi na watumishi wakituhitaji ni nyenzo muhimu kwa utendaji wa kazi.
  • Ni kosa kubwa sana kwa muajiri kutopeleka michango  ya watumishi kwenye mifuko ya kijamii.
  • Sikukuu hii iwe chachu kwetu, tujipange kwa utendaji kazi uliotukuka.
  • Tuhakikishe ambao hatujachanja tuchanje, chanjo ni salama.
  • Ukatili upo wa kijinsi na wanaofanya ukatili wanatoka kwenye familia husika ya mtoto aliyefanyiwa ukatili, Sio haki.
  • Changamoto ya lishe na udumavu ipo, wazazi tujitahidi kuwapa watoto wetu chakula bora na chenye virutubisho.
  • Sensa ipo mbele yetu, tuhakikishe wote tunahesabiwa kwa maendeleo ya nchi yetu.
  • Hatutavumilia waajiri wanaokiuka haki za wafanyakazi.
  • Niwahakikishie wafanyakazi wote mkoa wa Iringa, Umoja na Utendaji uliotukuka.
  • Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi Ifunda zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

Imeandaliwa na

Ofisi ya Habari na Mawasiliano Mufindi.


Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.